Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20220314_081442_684.jpg
 
🤣🤣🤣 nitakugokoa dada

Kimepoa eti, ilikuwa ni kweli labda maji yalipungua.
Hahahaa basi😂

Mimi swala la kunywa maji plain hua ni changamoto basi kichwa kinaniumaga balaa.

Nilichofanya nikajinunulia chupa nzuri za kuvutia ili ziwe zinanipa hamasa ya kuywa maji nikiziona😂 na nashukuru imework kwa namna fulani
 
Gokonaizesheni 😉

Maji tu yakushinde na jua la huko kwenu?
Kuna mtu hapa anakunywa maji kayamix na bamia, imagine yanavyoteleza.
Ukipewa utaweza? Nilijaribu siku kidogo yarudi ..

Siku hizi kuna vichupa classic sana, raia tunabebea mpk uji 🤣🤣
 
Hahahahaa D niache sitaki mimi🤣🤣🤣🤣

Uwiii huo utelezi mbona sio jaman, mwenyew yasingepita.
Ila naskia ni tiba nzuriiiii😛

Vichupa vizuri sana, uji naupenda sana ila tatizo wengine tukinusa tu harufu yake kuja kushtuka tushaongezeka kilo kadhaa. Mateso bila chuki
 
Back
Top Bottom