cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Vocha jomoneee [emoji23][emoji23]Selfika
Vocha jomoneee [emoji23][emoji23]Selfika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harusi gani ina code 1? Wamebugi hapo
Kuna harusi nimetoka kuhudhuria mwanzoni mwa mwezi huu, Lavender ilikuwa mojawapo ya code.
Bridesmaid na groomsmen walivaa lavender na walipendeza.
Kumbembe sisi wananchi waalikwa [emoji1787]
Zilikuwa rangi 3 ila naona karibia nusu tulikumbilia maroon
Kuna rangi ukiziangalia unakosa mpk mshono
Ulipendeza sanaYea,tunatofautiana sana!
Na inategemea unavaa unaenda wapi pia!
Sie wa church fresh!
Na pia huwezi vaa nguo za aina moja kila siku ,km za kubana,(tight,shift nk) kuna wakati unasikia tu kuwa huru hutamani nguo ikushike km hivi tu![emoji3]
Boss lediiiiii mjengoniGood morning wana selfika!
Sio Iringa hapa? [emoji23][emoji23][emoji126]View attachment 2160073
Picha za cm ya tecno sio macho 3[emoji3]hakuna namnaUlipendeza sana
Na rangi yako inakubali hiyo nguo dear
Mshono wako nimeupenda..natamani niuone kwa mbele.
Pia unywele huo[emoji3059][emoji91][emoji108]
Aisee...weka ya karibu tuone huo unywele mama.
Yes,gangilonga,sunset hotel!Sio Iringa hapa? [emoji23][emoji23]
Hizohizo dearPicha za cm ya tecno sio macho 3[emoji3]hakuna namna
Tatizo picha za karibu mpk nifiche uso kwanza,wait
Byurifuuu[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Asante dear
Nimeona lavender mmeielewa ....
Ukiona mbele ndo utaipenda! Ila ni ya church tu...
Mi napenda kudesign mwenyewe ila sijui kushona[emoji3]kwahiyo nikipata styl nampa fundi ananishonea nachotaka!
Mic u shouzzzzzzzz ake [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]Good morning wana selfika!
Uwiiiiiiih had minyooo imesisimka hapa yaan lol,
Habari za iringa hapo Ni sun set eeeh gangilonga[emoji126]View attachment 2160073
Ooooh hapo sawa.Yes,gangilonga,sunset hotel!
Mabinti Abiudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbele uliko sema kuzuri sana sijapata picha yake clear…
Una nywele aisee [emoji3059]
Yan hapa tumejaa church ladies, we tumwagie tu dizain mbali mbali za mishono tuibie ibie dear.
Poleeeeeeee,,,,,,,,Uwiiiiiiih had minyooo imesisimka hapa yaan lol,
Mate yanavuja tyuuh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Shos nakutafuta kuleMic u shouzzzzzzzz ake [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizohizo dear
Sisi wote ndio picha zetu za tecno wereva.
Nitumie bas kwa Tavavili [emoji23][emoji23][emoji23]Poleeeeeeee,,,,,,,,
Nakujaaaaah shouzzzzzzzz ake.Shos nakutafuta kule