Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante dear
Nimeona lavender mmeielewa ....
Ukiona mbele ndo utaipenda! Ila ni ya church tu...
Mi napenda kudesign mwenyewe ila sijui kushonakwahiyo nikipata styl nampa fundi ananishonea nachotaka!View attachment 2160081View attachment 2160082
Mbele uliko sema kuzuri sana sijapata picha yake clear…

Una nywele aisee 🥰

Yan hapa tumejaa church ladies, we tumwagie tu dizain mbali mbali za mishono tuibie ibie dear.
 
Hahahahaa D niache sitaki mimi🤣🤣🤣🤣

Uwiii huo utelezi mbona sio jaman, mwenyew yasingepita.
Ila naskia ni tiba nzuriiiii😛

Vichupa vizuri sana, uji naupenda sana ila tatizo wengine tukinusa tu harufu yake kuja kushtuka tushaongezeka kilo kadhaa. Mateso bila chuki
😂😂😂 emu nitoke hapa

Inatibu nini kwanza?

😅😅😅 wenye miili yenu gokodotikom
 
Mbele uliko sema kuzuri sana sijapata picha yake clear…

Una nywele aisee

Yan hapa tumejaa church ladies, we tumwagie tu dizain mbali mbali za mishono tuibie ibie dear.
asante my dear
Dawa tu ndo zinatuharibia nywele jmn!
OK dear! Kumbe tunafanana kwa sehemu!
Ss hapa kuweka ya mbele majanga ngoja nione km naweza,ila ni mikanda miwili kwa mbele kabisa mirefu ambayo unaweza funga design yyt unayotaka!
 
Ninywe k vant kwani mimi mwanamkee
20220320_230746.jpg
 
😂😂😂 emu nitoke hapa

Inatibu nini kwanza?

😅😅😅 wenye miili yenu gokodotikom
🤣🤣🤣 utoke kabisa ndio

Hahaa ukimuona tena anakunywa em muulize

Gokodotikom for life babyyyyyy😂
 
🤣🤣🤣 utoke kabisa ndio

Hahaa ukimuona tena anakunywa em muulize

Gokodotikom for life babyyyyyy😂
Mwee
Emu sema, yule mtu sina pa kumuingilia 🤣🤣

Hahaaaaaaaa uwiiiii
NalogOff 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom