Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha jamani usinichekeshe mimiTobaaa
Hizi rangi za mwanasesere kama watu wa Chitipa Malawi
Sitaki.

Kuna harusi moja hivi karibuni lavender ilikuwa wedding colour aisee nilisema tu siendi ..
Rangi gani hii sasa







