Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,048
Nilishaitumaga humu ma mchungaji.. Hujaiona??Irudie boss lady jamani
Nilishaitumaga humu ma mchungaji.. Hujaiona??Irudie boss lady jamani
Tinsley achana na binti AbiudMtatudanganya mchana kweupe
Sijaona. Irudie pleaseeNilishaituma ma mchungaji.. Hujaiona??
Yes dada .Aah ya kupunguza tumbo tu?
Ahsante mdogo anguYes dada .
Cha kuondoa kitambi hiki , flat tummy inavutia .
[emoji1545]Ahsante mdogo angu
Ooh hips don't lie. Ahsante boss ladyNilituma hii ma mchungaji!View attachment 2159388
Shindwaaaaaaaaaa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] ati mama pastaaa Heaven Sent.. kweli haya manenoView attachment 2159392
Ticha anakuta banda 😃😃😃.. kumbe ume cut hizi forgery zilikuwa zinaokoa sana... una mrudishia na hakati maala kila kitu kinaonekana ni yeye.. unakuta anabadilisha tu.. ila ndio ujasiri sijui tulikuwgaa tunatoa wapi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kabisa mkuu
Nimefanyaje sasa jamani 🙄
Mtwara kweli???😲😲😲Twende zetu Mtwara kule zinatosha na kubaki
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ahsante kunchekesha mwee!kwanza mpk Leo ubao unasomekaje hukoo!!!vitaniHapa njiwa kapepea tayari ngoja nihamie kule kwenye mabishano ya Urusi na Ukraini nisogeze muda.
Mimi nilikua booonge nilikonda kwa kupunguza kula tu jioni ntatuma picha nilivokuaga kibonge!Jioni Usisahau kuniamsha nikapunguze hiki kitambi kwanza!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Uwii naomba nisiikose wii.. halafu msalimie sana pacha wako!Mimi nilikua booonge nilikonda kwa kupunguza kula tu jioni ntatuma picha nilivokuaga kibonge!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mama anaupiga mwingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]usijali dear au ntakuletea kwa PM yaani nilikua boonge shavu dodo kama mimba ya panya vile but nimemeneji mpk 68 but I can see nimeongezeka nna 70 sasa hivi zinakuja kuja tu kiajabuUwii naomba nisiikose wii.. halafu msalimie sana pacha wako!
Post hapahapa tuone wote bina[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]usijali dear au ntakuletea kwa PM yaani nilikua boonge shavu dodo kama mimba ya panya vile but nimemeneji mpk 68 but I can see nimeongezeka nna 70 sasa hivi zinakuja kuja tu kiajabu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app