reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Dada uko vzr Mimi rangi ni zerooo kabisaa!!


mradi tu bora liendeSent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Dada uko vzr Mimi rangi ni zerooo kabisaa!!


mradi tu bora liendePost hapahapa tuone wote bina










weee!sina bando la hapa Dada binamu!!Fanya hivo wii ..yani najiona naongezea sana sasa mie mbaya nikinenepa tako linaenda sambamba na tumbo!usijali dear au ntakuletea kwa PM yaani nilikua boonge shavu dodo kama mimba ya panya vile but nimemeneji mpk 68 but I can see nimeongezeka nna 70 sasa hivi zinakuja kuja tu kiajabu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app


Ndo shida ya ubonge yaani ukinenepa tako na tumbo vinaenda sambambaFanya hivo wii ..yani najiona naongezea sana sasa mie mbaya nikinenepa tako linaenda sambamba na tumbo!![]()
Shem usinisahau katika ufalme wakoMimi nilikua booonge nilikonda kwa kupunguza kula tu jioni ntatuma picha nilivokuaga kibonge!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

Wakipata ya kuongeza tumbo utanistuaAah ya kupunguza tumbo tu?
Jishaueeeeeee. TunakusubiriWakipata ya kuongeza tumbo utanistua
NyeupeHahahha
Rangi zipi wazipenda ?
Yanii...Ndo shida ya ubonge yaani ukinenepa tako na tumbo vinaenda sambamba
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ww ndio unakula wali na mamichuzi mengi namna hii!!
Nawasubiri mnipe tips za kuongeza tumboJishaueeeeeee. Tunakusubiri
Kuna bora liende afu kuna orangeDada uko vzr Mimi rangi ni zerooo kabisaa!!mradi tu bora liende
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nyeupe
Pink na ile njano Fulani hivi ile
EwaaOoh zote nzuri hapo
Gold je ?
Mahaba niue yanaendelea hukuInataka kufanana na sahani ya Anne. Nikashangaa sana Leo amemuwekea hicho chakula nani
Ewaa
Na silver
Sasa hizo ni za kitajiri mno