Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thanks a lot!
Tatizo nikiwa spare tyre najua lazima tu nitapelekwa jela.

Kuna movie hapa nilikua naicheki inaitwa deep water hebu itafute, yupo Ben Afleck, jamaa alikua ananyatia michepuko ya mkewe anaua kimya kimya, achana chezea mapenzi.. Yanauma ati
Hahahaaa..mie nakutania tu mkuu nawawezea wapi hata! Siwawezi Nyie pambaneni na kina Anne tu mie mzee siwawezi!
 
Nani kasema Pep??
Huyo pep hata simjui.

Nitakuja na picha baadaye kuondoa huu mkanganyiko[emoji1787]
Etiiiiihhh !![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Humjui nani tena??? [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] acha masihara aseeh!![emoji118][emoji118]
 
Etiiiiihhh !![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Humjui nani tena??? [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] acha masihara aseeh!![emoji118][emoji118]
Boss lediii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selfika basi boss wetu
 
Ila siasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Unaweza pasuka kwa vicheko
Screenshot_20220321-135819.jpg
 
Back
Top Bottom