Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Anaboa kwa kingereza chake kibovu afu cha kufoka lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooooh sorry shouzzzzzzzz, ndo unirekebishe sasa, si unajua mwenyew mie waru waru na utoto unachangia, basi ndo uniweke ktk mstari mnyoofu [emoji4][emoji4][emoji4]Tumia polite language dogo! unaomba kibabe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimekuja mbio
Nikajua unaveshwa pete
Siku nyingine utasababisha
Ajali[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeeh.Yaani imeshaisha Kwa mbili hii
Kazi kwa DJ kumleta Bwana harusi
Tunasafirisha na lori hadi Sangu
Sijui niwaonyeshe ile pete [emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi iwe biashara ya kituo Cha mafuta, hopefully Ile milioni 200 uliyoanza kuitunza kwenye kibubu miaka Ile itatosha kufanya mtaji 💪💪Inshallah!!!🙂 Ila sio supermarket .....too many of those already.
Kwa watoto wa mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeeh.
Sangu hoyeeeeeeeh, wakamu hewalaaaaaa uwiiiiih
Ooh yeah ,nimependa hiyo smile .Ahsante mnooo dea, hata mwenyew nimeipenda sana, hasa lips, shingo na meno. [emoji7][emoji7][emoji7]
Usiwaonyeshe wavimba machoSijui niwaonyeshe ile pete [emoji848]
Au basi!
Mafao bado yapo mzey??[emoji12][emoji1787]Leo sijapoteza Miwani, nimeshuhudia vitu mubashara [emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kunenepa mie kwangu yuko fresh, sema apunguze tumbo tyuuh, ila sasa akiwa mbele ya camera, woiiiiih dunia yote yake khaaaah. Akianza kupiga kimomboo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sasa wanavyomsema alivyonenepa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nimecheka
[emoji849]Utakuwa una radar za kichawi wewe[emoji23]
Mimi napenda hiyo chata[emoji23]
Eeeeh ndyoooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa watoto wa mjini[emoji23]
Kwani umesahau somo la Geography Ile topic ya Map reading tunapima urefu wa Barabara au Reli kwakutumia Uzi/Kamba 😂Utakuwa una radar za kichawi wewe[emoji23]
Yaan iko vizuri mnooo.Ooh yeah ,nimependa hiyo smile .
Ndiyo kwanza nimetumia 1/3, njoo tugawane 2/3 iliyobaki 🙊Mafao bado yapo mzey??[emoji12][emoji1787]
Hizo kucha Anne akasome mbona![emoji8][emoji3577] Rangi imekaa penyewe!
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]We mtoto weeh
Khaaaa
Wewe na Mjep tutajenga mabango yenu aiseeHapana mtakua mnamkosea kabisa shos! Mjep aheshimiwe tafwazali wee huo moyo alionao sio wa nchi hii ujue! wengine vocha za jero tu wanamute mazima kama hawajaona maombiya vocha nashauri jina lenye heshima zake pullliiizzzzzzzzzzzzzzz![emoji12][emoji12][emoji118]