Shati nimelielewa, limekaa penyewe yaan. [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha geti kali hawatoki kabisa [emoji23]
mimi nazurura mno , nipo free sema ndo hivyo upele humuota asiye na kucha [emoji28][emoji28].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaonekana upo vyema , nimekumbuka picha unazoweka hapa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah nilijua hapa utatia neno [emoji1787][emoji1787]
Maji yana nguvu , vikelele muhimu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.Kweli wewe ni mwalimu kabisa .
Last time nilipiga kelele hadi yule kaka akaniambia dada wewe muoga sana [emoji1787] toka hapo sijaogelea tena .
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea una nn lakini? WeeAlinisema yule kaka kwamba hata utaweza kuendesha gari wewe . Hivi mawimbi hayo nibaki nashangilia tu mimi [emoji1787]
Shosti acha tu ushamba huu [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimerudi ufukweni my sisy ananiambia hivi yale makelele yalikuwa yako [emoji1787][emoji1787].. adrenaline yangu haitaki mchezo mie .
Nn hii? [emoji23][emoji23][emoji23]Ur fav dyadya Lenie View attachment 2157155
kila nikikumbuka nacheka ..nilikuwa bado nina akili za kijinga [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea una nn lakini? Wee
Weeee....huko kwa big boys kabisa???π―π―Lizzy karibu kwenye gropu ule vitu.. View attachment 2156928
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harakati za mabaharia
View attachment 2157224
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka ujichanganye? Kingekukuta kitu lol.Wee
Kumbe Bill Ndiyo Fortnox?
Nilikuwa nadhani Fortonox ni yule beberu mwitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa huyu ataoa kweli ?
Chapati zake nzuri tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akioa ole wake mke awe anazingua kwa mapishi
Eeeeewh ndyoooooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tuibie wote[emoji4]View attachment 2157228
Itabidi tuungane nae tuanze kilimo cha miwa ππWe naona huna tofauti na mdogo wangu, yule binti chai yake me siwezi kuinywa. Team masukari mengiπ
Moshi kuchelee
Lazima turudi buana πββοΈπββοΈ
Hebu geuka nione km unaweza kurithi mikoba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waaa
Sijui nigeuke Cocastic kwa muda