Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😀😀😀 road trip tamu sana.. hasa afisa kama wewe mwendo mdogo mdogo.. tukikuta mahala wanachoma mbuzi tunapaki. kula mbuzi vi bia viwili vinne hizi.. tunaendelea na safari
Huu mwandiko unaonesha rodi trip ni tamu sana.
Usinifanye nitamani likizo basi😃😃

Hivi unafikiri na hii Kwaresma kweli kuna pombe itanywewa kweli!

Maji na juice vitanihusu safari yote
 
Huu mwandiko unaonesha rodi trip ni tamu sana.
Usinifanye nitamani likizo basi😃😃

Hivi unafikiri na hii Kwaresma kweli kuna pombe itanywewa kweli!

Maji na juice vitanihusu safari yote
Ila nyama inaruhusiwa na ka mvinyoo kale ka sweet.. hutu tunakula mziki wetu wa country... mdogo mdogo madirisha wazi tunakula fresh air tu yaani 😀😀😀😀
 
Vitu vyetu vya road trip hivi Chakorii .






 
20220319_180618.jpg
 
Back
Top Bottom