Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Sio kweliii😂Nusu tu 🤣🤣🤣
Hiyo style ya kunywa na kijiko naielewa vema, sukari lazima iwe imekolea vilivyooo
Sio kweliii😂Nusu tu 🤣🤣🤣
Tuombe muujiza utokee. Na Abiudi Misholi atusindikize...Ndiyo nishamtumia; nasubiri miracle yangu hapa



Ila Mungu anatuona tunachokifanya kwa huyu Mtumishi wake 🤣🤣🤣
Kweli tenaSio kweliii😂
Hiyo style ya kunywa na kijiko naielewa vema, sukari lazima iwe imekolea vilivyooo
Alaumiwe Billdrago aka Fortnox. Ndiye aliyeleta huu mtafarukuIla Mungu anatuona tunachokifanya kwa huyu Mtumishi wake![]()



Ila pia amesaidia kutufanya tukamuangalie na kumsikiliza AbiudAlaumiwe Billdrago aka Fortnox
Ewaaaaa ubarikiwe sana Gallius
Wee
Ewaaaaa ubarikiwe sana Gallius
Viwili viwe vya kujaa uskilizie utamu wake😋😋Kweli tena
Afu nimeongeza robo glass, sijaweka kabisa sukari.
Kesho nitajaribu wa sukari vijiko viwili
Jamaa huyu ataoa kweli ?Harakati za mabaharia
View attachment 2157224
Afadhali yako hujawahi kubadili jina tangu nikufahamu. Mtoko classic wa jana ulikwendaje?Wee
Kumbe Bill Ndiyo Fortnox?
Nilikuwa nadhani Fortonox ni yule beberu mwitu
😎😎 offer ya kuvuka border ndio hutakiHarakati za mabaharia
View attachment 2157224
Uji ni dawa toshaHapana… Kwani kuna dawa umeiona pale?
AMEN. Thank youHaya mpendwa ubarikiwe nawe uwe na wikiendi njema pia yenye baraka tele ndani yake
YaaniJamaa huyu ataoa kweli ?
Chapati zake nzuri tu
AMEN. Thank you
Akioa ole wake mke awe anazingua kwa mapishiJamaa huyu ataoa kweli ?
Chapati zake nzuri tu