Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,679
- 208,843
Wasn’t a dinner date lakini 🤣🤣🤣Afadhali yako hujawahi kubadili jina tangu nikufahamu. Mtoko classic wa jana ulikwendaje?
Ulikuwa poa sana.
Wasn’t a dinner date lakini 🤣🤣🤣Afadhali yako hujawahi kubadili jina tangu nikufahamu. Mtoko classic wa jana ulikwendaje?
Dah kwa mama bana kumenoga jamani😎😎 offer ya kuvuka border ndio hutaki
Yupo vyema aiseeYaani
MweeeUji ni dawa tosha
🙄🙄🙄🙄 kwenda na kurudi tuDah kwa mama bana kumenoga jamani
WaaaAcha tuibie wote[emoji4]View attachment 2157228
Nayo ni dawa[emoji23]Mweee
Mtindi ule
Uji gani unawekwa kwenye glass [emoji1787][emoji1787]
Yule sio mzima mwache anyonye nowWaaa
Sijui nigeuke Cocastic kwa muda
Hahaha halafu unakuta hivyo mke anajua kiasi ..Akioa ole wake mke awe anazingua kwa mapishi
Acha tuibie wote[emoji4]View attachment 2157228
Uchebee!![emoji2][emoji847][emoji847][emoji847]napenda vindevu Mimi[emoji16][emoji23][emoji23]Acha tuibie wote[emoji4]View attachment 2157228
Karibu ushike uchebeUchebee!![emoji2][emoji847][emoji847][emoji847]napenda vindevu Mimi[emoji16][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
We naona huna tofauti na mdogo wangu, yule binti chai yake me siwezi kuinywa. Team masukari mengi😂Viwili viwe vya kujaa uskilizie utamu wake😋😋
Aki nimemiss Moshi ghafla nilikua nakesha nayo hiyo kitu.
Nitarudi huko tena soon
KauchebeAcha tuibie wote[emoji4]View attachment 2157228
🤣🤣🤣🤣🤣Yule sio mzima mwache anyonye now