Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Kweli wewe ni mwalimu kabisa .Ukiwa unajifunza ni kawaida kupiga kelele[emoji28]
Huyo Mwalimu hafai[emoji28][emoji28][emoji28]Kweli wewe ni mwalimu kabisa .
Last time nilipiga kelele hadi yule kaka akaniambia dada wewe muoga sana [emoji1787] toka hapo sijaogelea tena .
Sabato ilikuwa njema/salama kabisa kama siku zote mpendwaOoh vyema ..
Sabato ilikuwaje pande hizo .
Alinisema yule kaka kwamba hata utaweza kuendesha gari wewe . Hivi mawimbi hayo nibaki nashangilia tu mimi [emoji1787]Huyo Mwalimu hafai[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]Alinisema yule kaka kwamba hata utaweza kuendesha gari wewe . Hivi mawimbi hayo nibaki nashangilia tu mimi [emoji1787]
Ooh vyema ..
Vizuri sana kama ni kwema BossKwema boss T 1990 ELY .. habari za hapo mkuu
Nambie lini utakua trayari twende zetu kigamboniAlinisema yule kaka kwamba hata utaweza kuendesha gari wewe . Hivi mawimbi hayo nibaki nashangilia tu mimi [emoji1787]
Nimerudi ufukweni my sisy ananiambia hivi yale makelele yalikuwa yako [emoji1787][emoji1787].. adrenaline yangu haitaki mchezo mie .[emoji23][emoji23][emoji23]
inapendeza sana hiyo mzeeVizuri sana kama ni kwema Boss
Habari za hapa njema/salama kabisa mkuu
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]Nimerudi ufukweni my sisy ananiambia hivi yale makelele yalikuwa yako [emoji1787][emoji1787].. adrenaline yangu haitaki mchezo mie .
Nitakuambia lini nitakuwa na muda .Nambie lini utakua trayari twende zetu kigamboni
Iwe friday, jmos na SundayNitakuambia lini nitakuwa na muda .
NotedIwe friday, jmos na Sunday
Selfika rafiki[emoji38]Noted
Thanks
Sina picha mpya rafiki , camera hainipendi siku hizi [emoji1787]Selfika rafiki[emoji38]