Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Geti kali eeh[emoji28]Hahaha natoka ila kuna mida yake ..
Sijazoea kutoka usiku ila kama nimeenda sehemu nikachelewa kurudi hiyo ni sawa ambapo mwisho saa nne hivi [emoji28] .
Geti kali eeh[emoji28]Hahaha natoka ila kuna mida yake ..
Sijazoea kutoka usiku ila kama nimeenda sehemu nikachelewa kurudi hiyo ni sawa ambapo mwisho saa nne hivi [emoji28] .
Haha geti kali hawatoki kabisa [emoji23]Geti kali eeh[emoji28]
Maeneo gani unapenda kutembelea?Haha geti kali hawatoki kabisa [emoji23]
mimi nazurura mno , nipo free sema ndo hivyo upele humuota asiye na kucha [emoji28][emoji28].
Sehemu tulivu hii kama beach , cafe etcMaeneo gani unapenda kutembelea?
Beach, unajua kuogelea?Sehemu tulivu hii kama beach , cafe etc
Niseme sijui tu maana naogopa waves hatari [emoji28]Beach, unajua kuogelea?
Niruhusu niwe mwalimu wako hadi ujue kuogelea[emoji4]Niseme sijui tu maana naogopa waves hatari [emoji28]
Beach pana raha yake hata kama hujui kuogelea kama vile kutembea ufukweni .
Unaonekana upo vyema , nimekumbuka picha unazoweka hapa .Niruhusu niwe mwalimu wako hadi ujue kuogelea[emoji4]
Najitahidi kwakweli, nitakupa mbinu zote za kuogelea uwe mtalaamUnaonekana upo vyema , nimekumbuka picha unazoweka hapa .
Ooh thanksNajitahidi kwakweli, nitakupa mbinu zote za kuogelea uwe mtalaam
Vile vikeleleOoh thanks
Mweh nisije nikakutia aibu mie ..
Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool,[emoji1787][emoji1787]
Hahah nilijua hapa utatia neno [emoji1787][emoji1787]Vile vikelele
Vile [emoji1787]
Usiniambie
Tinsley mamboOoh thanks
Mweh nisije nikakutia aibu mie ..
Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool,[emoji1787][emoji1787]
Mambovipimkuu
Vizuri sana kama ni poaPoa
Vipi mzima Ely ?
Ukiwa unajifunza ni kawaida kupiga kelele[emoji28]Ooh thanks
Mweh nisije nikakutia aibu mie ..
Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool,[emoji1787][emoji1787]
Vizuri sana kama ni poa
Mimi ni mzima kabisa namshukuru MUNGU mpendwa
Kwema boss T 1990 ELY .. habari za hapo mkuuMambovipimkuu