Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Nimempenda Tinsleyleo umechachuka San, umepatwa na nn? Umeopoa demu mpya nn? Khaaaah
Nimempenda Tinsleyleo umechachuka San, umepatwa na nn? Umeopoa demu mpya nn? Khaaaah
Humu ndani kimbaumbau pekee angu, itabidi niukimbie uzi sasa,Hii hapa dear View attachment 2157265



huendaa mie ni msukule wa uzi lol.Kuna yule jamaa alitangaza ndoa..yupo wapi?

Wewe nahisi unajua shosti




sitaki hata kuona swimming pool, nlitaka kufa mie kwa maji, sitaki tena.Yes you're beautiful
Yes you're beautiful
Upo mrembo kichizi

Kuna yule jamaa alitangaza ndoa..yupo wapi?![]()




hatuwezan kabisaaa. Karibu tuenjoy maishaEeh jamani.
Thank you Jp .

Shoga toka nimekuwa bonge ndo nimepata hako kaguu , hujaniona nilivyokuwa na spoku zangu kabla .Humu ndani kimbaumbau pekee angu, itabidi niukimbie uzi sasa,huendaa mie ni msukule wa uzi lol.


Dah so hana elimu au?hatuwezan kabisaaa.
Afu pia Kigezo cha Elimu, kilitutenganisha yaan.
Eh pole aiseesitaki hata kuona swimming pool, nlitaka kufa mie kwa maji, sitaki tena.

Demu aliyekua anamtaka yaan fani, ni tofauti ja yangu.Dah so hana elimu au?




Kaushe au unataka kuniharibia?Ucnambie sasa lect ake?
Afu wee au bas nkaushe tyuuh.
Wee una msikiliza huyo?Eh pole aisee
Vipi muone lecturer akupe somo![]()





Kaa kimya banaWee una msikiliza huyo?
Hebu nikae kmya mie.