Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
😀😀😀 gari umeme mwingiMbona napaona April ni mwakani jamani…loh…
Kwamba utachoma kiwese mpka huku
Chief
😀😀😀 gari umeme mwingiMbona napaona April ni mwakani jamani…loh…
Kwamba utachoma kiwese mpka huku
Chief
Anko dereva kumbe na farewell party ulifanya na sijui!!loh☺️Aunt abiria, huku nilishaaga kitambo...hii itakuwa comment yangu ya kwanza tangu nilipong'atuka rasmi kwenye huu uzi
Hebu acha tu niendelee kutundika daluga 😉😉
❤❤
Haya bado wee yako sasa, [emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniii njooni muone mama mchungaji kapostt[emoji173][emoji173][emoji173]
Huu ni wimbo eeh ?Anaitaka pia......... (mmmh)
Anaiamini.............(mmmhh)
Na ameiridhia...........
Wacha wee, kumbe mko twin? Ooooh woooow[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! huyo ni twin ake shos!
Ile ni mustard yellow; editing tu za cameraWow ..gold hakika unaipenda pia .
Basi una damu ya nguo dada ,mie naogopa rangi nyingine naona nitakuwa kichekesho ..
UsiondokeeHaya bado wee yako sasa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mustard yellow je?Dada mimi naona kuna rangi watu weusi hazitufai aisee huwa sitaki kabisa kuzivaa mfano bright yellow.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wow ..gold hakika unaipenda pia .
Basi una damu ya nguo dada ,mie naogopa rangi nyingine naona nitakuwa kichekesho ..
Hiyo ndiyo nayoivaa sana sasaMustard yellow je?
Mama maleziiiiiii, leo umeamuaaaaa.
Akija reymage utamwambia nilimtumia picha akayeyaaqWacha wee, kumbe mko twin? Ooooh woooow
Sijaona loohhMshono umetulia mahali pake mnooo, ila hiyo cm mbna km 3[emoji102]?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ishafutwa[emoji2][emoji2][emoji2]sijaonaTayari.
Dada uko vzr!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Binamu hata kama huna damu; wewe Vaa tu, hiyo damu itakujia baadayeView attachment 2156518
Nione jamaniHiyo ndiyo nayoivaa sana sasa