Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Anne was here
.
.
Eti umesemaaMimi sio tumbo TU ukitaka hata uchi nakuwekea. ![emoji849]
Nilishona last year; tatizo sipigagi picha dada yenu. Sasa hivi ndiyo hata ka-hobby kanaanzaUmeshashona?
Hiyo siku niite kwanza kabla ya kutudorishia
Mshono no 6 ntashona, staki kupitwa mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo, wewe sio mtoto wa Abiud. Aisee nimekutafutia tu za mtandoani;
C.c mahondaw
View attachment 2156401
View attachment 2156402
View attachment 2156405
View attachment 2156406
View attachment 2156407
View attachment 2156414
View attachment 2156415
View attachment 2156416
View attachment 2156417
View attachment 2156418
View attachment 2156419
View attachment 2156421
View attachment 2156422
View attachment 2156423
View attachment 2156424
View attachment 2156425
View attachment 2156427
Hatarious; hapo unaondoka taratibuu swinging like a giraffe🤣🤣Umeona vinavyotoa eeh 😊😊View attachment 2156460View attachment 2156461
🤣🤣🤣🤣 kitu kizuri kinaonekanaNdio huu nilitaka akupe[emoji23]
Kumbe una jicho la rohoni dogo
Tuokoe chama cha wachukue sheria mkononi 😋Mimi sio tumbo TU ukitaka hata uchi nakuwekea. ![emoji849]
Ndo mie nimesema lazima nishone aseeeh. Nimeuelewa huo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heaven Sent haka kazuri.. na nina gauni ya kitambaa mfananio huu ‘ ya spesho ilaView attachment 2156451
Nakacharanga kama kalivyo kwenye picha🤣🤣🤣🤣 kitu kizuri kinaonekana
Unashona short or long?
Sipati picha long itakaaje 😂😂
Hebu weka tuone hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ndiyo hiyo tunayoiongelea na mtakatifu. Ngoja nije niwaringishie yangu
JamaniAnaninyanyasa,alishashona kabla yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Kama anataka achekeshe aseme[emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️ weuweeeeNakacharanga kama kalivyo kwenye picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeKaka kwa kutulia
Ukiona madam Heaven Sent kapost jua yangu inakaribia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti umesemaa
😀😀😀😀😀 na ku dance kama hivii eehHatarious; hapo unaondoka taratibuu swinging like a giraffe🤣🤣
Amenistua aiseh kha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jioni basi nikirudi. Ingawa changu nilishona kitambaa, kifuani ndiyo nikachanganya na lace kiduchuuuuJamani
Heaven Sent weka basi tuone daah
tudorishie ili tupate wivu. Mwisho wa mwezi tuanze kusumbua mafundi
Mshono wa hivi vibukta anatakiwa fundi kweli, nilipeleka kwa fundi rang nyeusi na pink, aliishia kuniharibia tyuuh, sitaki tena mie. Aaaaaah.Umeona vinavyotoa eeh [emoji4][emoji4]View attachment 2156460View attachment 2156461