Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Boss ledi pia hana japo anasema analo
Sasa nilitaka aweke ili wenzangu mnisaidie ,tumwambie boss ledi ukweli kuwa ana flat tummy
Na hapo ana watoto?tumbo dogo hadi raha[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]
Anne niache [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]! nasubiria yako usinizuge hapa!!
 
Anne niache [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]! nasubiria yako usinizuge hapa!!
Wewe dada ni mtu na nusu[emoji7][emoji7][emoji7]
Ngoja nikusifie kidogo

Mungu alikuumba mapema baada ya chai
Umekamilika kila idara
Japo bebi fesi sijaiona bado jamani[emoji2296]
Ila ulivyo na roho nzuri wewe najua unaweka hapa sasahivi[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tumuaibishe shetani[emoji108]
 
Anne unaninafikia hadi nagundua ujue!!!
 
Poleni sana tutakoma aseehh!mafuta kupanda bei ni kwio sana!mpk vita iishe ulimi nje tutatoa!!yaani gari inataka kua sio basic needs tena kaahh!

Wala nisingekutumia kwanza nilikua nakutania[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]!!na kwanza sikuichukua mmechelewa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Najua shem. Hapa tunataniana na kucheka tu basi...kasoro huyo mla senene. Nammaindi kishenzi basi tu. Bado kakwama mkoani au keshatia kambi? Kama namuona vile [emoji51][emoji51][emoji51] Nataka urudi kwenye ukoo wa Babinza [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom