Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Ewaaaaa.... 😋😋😋Hiki kibukta nimekielewa chataka kufanana na hiki
View attachment 2156463
c. c Heaven Sent
Ewaaaaa.... 😋😋😋Hiki kibukta nimekielewa chataka kufanana na hiki
View attachment 2156463
Utavalia wapi wee mkwe wa Abiud? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakacharanga kama kalivyo kwenye picha
Hivyo nimeshona mimi, nicheki nikufanyie mafekecheee u damshi 😀😀😀Mshono wa hivi vibukta anatakiwa fundi kweli, nilipeleka kwa fundi rang nyeusi na pink, aliishia kuniharibia tyuuh, sitaki tena mie. Aaaaaah.
Ila hapo kapendeza mnoo.
Kabisa aweke hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani
Heaven Sent weka basi tuone daah
tudorishie ili tupate wivu. Mwisho wa mwezi tuanze kusumbua mafundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan sasa?Amenistua aiseh kha
Siku nikivaa wa kitambaa chake nakudorishiaaNdo mie nimesema lazima nishone aseeeh. Nimeuelewa huo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitashona kama hiki lakini rangi ya peach au pink mpauko na kikoti cheupe tuone nitafananaje loh
Aseeeeeeh mbna km roho inanambia niingie tena dukan ninunue kitambaa nikashone uwiiiiih. Kanoga mnooo. [emoji7][emoji7][emoji7]Ewaaaaa.... [emoji39][emoji39][emoji39]
c. c Heaven Sent View attachment 2156464View attachment 2156465
Hamza kafia ubalozini[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]mambooNusu saa ya mshale nusu bob marley.....[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2155973
Wee sema kweli? Navopenda shorts mie, yaan nakua huru mtaani mnoo,Hivyo nimeshona mimi, nicheki nikufanyie mafekecheee u damshi [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu huyu ndiye Heaven Sent ?
Inawezekana mimi nimeangalia Kwa umakini nikauona ukakasi kwenye mwandiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan sasa?
Yan naomba kabla hujapost tuite, hakikisha tumeitikia 🤣🤣Jioni basi nikirudi. Ingawa changu nilishona kitambaa, kifuani ndiyo nikachanganya na lace kiduchuuuu
Wee apo rangi ya maziwa, afu tafuta koti rangi ya pink utaniambia hapa. [emoji7][emoji7][emoji7]Nitashona kama hiki lakini rangi ya peach au pink mpauko na kikoti cheupe tuone nitafananaje loh
Ni wewe ndo umeshona..wallah nakuja ila nipendeze chiefHivyo nimeshona mimi, nicheki nikufanyie mafekecheee u damshi 😀😀😀
Mwenzio naweza kuwahi kabla yako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku nikivaa wa kitambaa chake nakudorishiaa
Utavalia wapi wee mkwe wa Abiud? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan huyo mshono, mie nimeupenda kwa kweli, lazima nishone aseeeh.Yan naomba kabla hujapost tuite, hakikisha tumeitikia [emoji1787][emoji1787]
Yan nishapata picha kalivyo kazuri [emoji76]
Hebu selfika bas guu la kuombea mkopo. [emoji7][emoji7][emoji7]Inawezekana mimi nimeangalia Kwa umakini nikauona ukakasi kwenye mwandiko
Hakuna cha tofauti lakini tuendelee kuselfika.
Mbali nayyote mahondaw yuko vyema
Ya kitambaa tayari ninayo, sasa sijui utawahi nini 🤣Mwenzio naweza kuwahi kabla yako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]