Mtu yeyote kusema amebatizwa
Yampasa kuchunguza sana maana
Neno batizo ni neno la lugha ya kiyunani
Maana yake kuzamishwa kabisa
Ndani ya maji
Ishara ya kufa na kufufuka
Biblia nayo iko wazi sana
Ikisema Yohana Mbatizaji
Alibatizwa mtoni Yordani
Maana ndiko kwenye maji mengi
Basi nendeni kote mkahubiri habari njema mmh
Habari ya wokovu tulopewa
Na kila aaminiye abatizwe
Tena azamishwe ndani ya maji
Neno linasema aaminiye
Abatizwe ndani ya maji
Vipi kwa watoto itakuwaje tukitaka kuwabatiza?
Neno liko wazi
Aaminiye
Na mtoto hawezi kuamini
Wala hawezi kuzamishwa majini
Basi nendeni kote mkahubiri habari njema
Mmh
Habari ya wokovu tulopewa
Na kila aaminiye abatizwe
Tena azamishwe ndani maji
Ambassadors of Christ Choir_Ubatizo
Happy sabbath Day to all SDA members