Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani wewe ndio mimi kabisa[emoji3059]
Mtoto wa mtu asije tu niletea drama jamani...mbona ntachizika kwa stress..ukizingatia huyo mtoto wa mtu ndio nategemea awe baba[emoji27].


Mungu ni mwaminifu sana.[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utatupa mrejesho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vita zangu utaweza bina...!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji1]nikipenda nafalll mpk nakua mwehuu ila nikiacha naacha kama sijawahi kukuonaa!!!
Ile unaulizea huna kwenuuu!!!!maana sio kwa matukio hayoo unayopigwa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mtu anakupiga matukio hadi watu wanahisi wewe mkimbizi dah[emoji27]
 
Oooooh hapo sawa mlongo, ila daah najisikia vibaya wazazi wakiachana, huwa tatizo kwa watoto [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sometimes bora kua hvyo kuliko mateso don't ever accept kuteseka for the sake of kids mambo mengi yanavumilika ila sio manyanyaso mwisho utaambulia kifo which is too worse na watoto watakosa malezi ya wazazi mmoja jela mwingine kaburini!!


Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Yaani wewe ndio mimi kabisa[emoji3059]
Mtoto wa mtu asije tu niletea drama jamani...mbona ntachizika kwa stress..ukizingatia huyo mtoto wa mtu ndio nategemea awe baba[emoji27].


Mungu ni mwaminifu sana.[emoji120]
You ain't seen nothing yet...

Just wait...na kizazi chenu hiki cha vijana wa hovyo hiki mh! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom