Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na kuna mazingira ambayo ni even worse kwa watoto; hata kama wanalelewa na wazazi wote wawili. You simply traumatize the innocent kids. Na wakati mwingine ni bora tu muachane kuliko kuja kuchomana gunia za mkaa
Exactly binamu!I have a friend asingefanikiwa kumpush yule baba alikua anamfumua ubongo live kabisaa!!!!Mungu tuuu!!!watoto wanamuuliza mama yao kwani kwa bibi huwezi ishii!!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Sometimes bora kua hvyo kuliko mateso don't ever accept kuteseka for the sake of kids mambo mengi yanavumilika ila sio manyanyaso mwisho utaambulia kifo which is too worse na watoto watakosa malezi ya wazazi mmoja jela mwingine kaburini!!

Ni kweli mlongo, now uko poaaah sasa.
 
afu tayari ujue!!
Muache hapa silali jus nasubiri nijue amefika or not maana simpati kwa simu

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Karudi mkoani tena?

Atakuwa OK shemu wala usiwe na wasiwasi...

Maisha ni kuwa na furaha na amani. Ukimpata anayekupa haya mawili basi komaa naye sana mpaka kieleweke. Yamekuwa mambo ya nadra sana hasa siku hizi.
 
Back
Top Bottom