reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Huyo nguruwepori atakayejichanganya kwangu amekwisha
Ntamnyoosha..hawezi niletea ujinga afu nimuache salama



una konfidensi heaven sent unamskia huyuuu!!sio rahisi hvyo mdogo wangu na haswaa ukizaa it needs courage na divorce ni last option ukiona hakuna namna tena ila kuna alternatives nyingi mnoo tunaziattempt I don't entertain divorce ila mpk ibidi sana my binamu unless komaa mpk kieleweke hawa wanaume ndo hawa hawa na sisi ndo sisi sisiSent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app







afu tayari ujue!!



