Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

una konfidensi heaven sent unamskia huyuuu!!sio rahisi hvyo mdogo wangu na haswaa ukizaa it needs courage na divorce ni last option ukiona hakuna namna tena ila kuna alternatives nyingi mnoo tunaziattempt I don't entertain divorce ila mpk ibidi sana my binamu unless komaa mpk kieleweke hawa wanaume ndo hawa hawa na sisi ndo sisi sisi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Asome na aelewe sasa.
 
Shemu umeongea kifasihi sana ila mmekuelewa !!!!yaani Weee kaaahh!!unafaa kua mwl wa kiswahili

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Napenda sana fasihi na nimesoma vitabu vingi sana. Vya Shaaban Robert vyote, vya Kezilahabi vyote, vya Musiba vyote, vya Mohammed Said Abdullah vyote, vya Ngugi karibia vyote, vya Achebe karibia vyote...na vingi vya falsafa...

Kulikuwa na sababu kwa nini Fasihi ilikazaniwa sana katika akademi za Wagriki wa kale japo mkazo hasa ulikuwa kwenye Hisabati. Ni kwa sababu, pamoja na falsafa, fasihi inapanua sana uwezo wa kufikiri na kujenga hoja. Inakufanya uyaone maisha na malimwengu katika mawanda mapana; na kuona masuluhisho mengi kwa matatizo yale yale yanayokukabili...ndiyo maana ni nadra sana kwa watu waliosoma sayansi kuwa viongozi wazuri kwa sababu wao humwona binadamu kama mashine tu inayojiendesha kwa kufuata kanuni maalum jumuishi zilizosimama tisti na huwa wana tabia ya kutumia maguvu. Kumbe kama wangesoma fasihi na falsafa wangetambua kwamba binadamu ni kiumbe tata sana ambaye kamwe hawezi kubanwa na mfumo au mkondo mmoja wa kufikiri na kimaisha.

Tuje tukutane shem tuongee haya mambo huku tukitafuna kuku watamu wa pale kiotani Tango...Na wanangu akina Minza wawepo
 
Back
Top Bottom