Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtakatifu unavyoongea sasa. Subiri uingie ngomani bana - ngoma ya vurugu. Ngoma isiyo na mpangilio. Ngoma ya wehu (in Kezilahabi's voice), yenye midundo mchafukoge. Ngoma ambayo mchezaji mwenza ni "guruwe pori". Kama nakuona yaani na huu ubishi wako itakuwa burudani tosha
Huyo nguruwepori atakayejichanganya kwangu amekwisha
Ntamnyoosha..hawezi niletea ujinga afu nimuache salama
 
Wee shindwa niko kungine kabisaa kwa bishangahapa nimefika sitoki mpk yesu arudi kututwaaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Huyo mla senene huyu dah!
Ananiudhi mpaka basi

D1KTq-6X0AAoFCQ.jpg
 
Mtakatifu unavyoongea sasa. Subiri uingie ngomani bana - ngoma ya vurugu. Ngoma isiyo na mpangilio. Ngoma ya wehu (in Kezilahabi's voice), yenye midundo mchafukoge. Ngoma ambayo mchezaji mwenza ni "guruwe pori". Kama nakuona yaani na huu ubishi wako itakuwa burudani tosha
Shemu umeongea kifasihi sana ila mmekuelewa !!!!yaani Weee kaaahh!!unafaa kua mwl wa kiswahili

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom