Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanataka uwarudishie capital yao waliotumia kuongea na wewe
Mimi ndio nilikuwa nawapigia

Ila walikuwa wananirahisishia kazi wanakata wao wenyewe.
Wakikata sasa..yule niyemuweka conferen d ananiambia ehee mpigie tena mwingi ne tumsikie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napiga..namwambia sasa huyu amesema hivi..anasema mwambie atume hela..anakata simu

Nampigie mwenzie naye anasema yake
Yaani nimeenda nao hadi mwisho...

Eti yule anayejidai babu anasema yaani mwanangu saa nzima tunaongea..nipeni ya vocha basi

Rafiki yangu akasema mwenzio katutukana...tungekupa japo ya maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo mwenzie anazidi kutukana..kumbe yanakaaga sehemu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wamenitukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wao wamekuja kwa gia ya biashara.
Na mimi nimeenda nao hadi mwsho..
Kama saa zima naongea nao

Huyu anasema mpigie huyu mwambie hivi?na mm nafata maelekezo hivyohivyo..anasema mpigie tena mwambie hivi
Hivyohivyo nafata
Wakajua wameniokota kweli

Sasa mwishoni nilikuwa nimemuweka conference rafiki yangu anasikiliza
Akaangua kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakasikia
Akawaambia sasa mnataka kumuibia dada jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee mmoja ameporomosha matusi..mwingine anasema basi naombeni hata hela ya vocha jamani

Kumbe wamekaa wote sehemu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukamwambia mwenzio ametutukana ?tungekupa..anasema ngoja nimwambie awaombe msamaha jamani..mnipe angalau ya vocha tu[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akaaaahhh!hivi wako serious hao vichaa mweehh yaani ningecheka balaa..nilijua wataishia matusi tu hao...wanaomba vocha baada ya matusi kenge hao..wiki ilopita nilitumiwa meseji kama hyo ya mrengo hukoo!akasema yeye hawezi piga maana simu yake maiki mbovu hatutasikilizana ,nkamtumia SMS nkamuambia huyo mjomba ako mwenye pesa za biashara muambie akupe utengeneze simu kwanza then ndo afanye biashara na Mimi asoniju..maana alisema mjomba ake tajir kuna business anataka afanye inamlipa hvyo aniunganishe nae!
Hawa matapel sasa [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]mwee

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kama ni yule wa gushepu hajamfikia boss ledi wetu jamani[emoji91][emoji91][emoji91]
Boss ledi hafananishwi na chochote.

Tena boss ledi wetu ana kiuno nyigu[emoji108]
Yule anacho?????

We boss ledi ni mtu na roho wewe dgo..moto wa kuotea mbali kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuwezi hata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akaaaahhh!hivi wako serious hao vichaa mweehh yaani ningecheka balaa..nilijua wataishia matusi tu hao...wanaomba vocha baada ya matusi kenge hao..wiki ilopita nilitumiwa meseji kama hyo ya mrengo hukoo!akasema yeye hawezi piga maana simu yake maiki mbovu hatutasikilizana ,nkamtumia SMS nkamuambia huyo mjomba ako mwenye pesa za biashara muambie akupe utengeneze simu kwanza then ndo afanye biashara na Mimi asoniju..maana alisema mjomba ake tajir kuna business anataka afanye inamlipa hvyo aniunganishe nae!
Hawa matapel sasa [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]mwee

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mmoja anaomba vocha..mmoja ashapanic anatukana..sisi tunacheeeeka
Rafiki yangu anamwambia kwahiyo mlijua mmeshaiba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom