cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee.Na mnyama sauli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee.Na mnyama sauli
Sitakiiii nawewe weka chako!! ...Tunaomba ya kiuno tu our very ownboss ledi jamani[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie jamam khaaah,Kuna tapeli amenipigia simu
Kweli maisha ni magumu mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa sijui anataka kunitapeli nini wakati hela sina.
Nimemsikiliza weee Hadi mwisho nikamwambia asihangaike sana mimi hela sina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unabahati hajakutolea lugha mbaya mimi kuna mmoja alinipigia simu ana lalamika amekosea namba ameweka pesa kwenye Account yangu nikiwa namsikiliza ghafla nikashangaa ana nitukana why simjibu[emoji51]
Basi leo sikuwa na bahati yaani. Basi tu acha nipambane na hali yangu...Na umekosa mengi, ungezimia bure tukukose kaka yetu, maana mikao ileile inayokukoshaga
Hivi smile la bosi ledi umeshaliona lakini???[emoji12][emoji12][emoji12]Tunaomba ya kiuno tu our very ownboss ledi jamani[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Jamani boss ledi wetu wewe[emoji3059]Sitakiiii nawewe weka chako!! ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah nacheka km chizi hapa uwiiiih[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa namjibu hadi mwisho
Namuuliza nani,?
Kanitajia jina hata silijui..
Namuuliza ndio nani anasema hunikumbuki?
Mimi ni Fulani Fulani
Nikaona nimsikilize,
Anauliza Niko wapi nikamtajia.
Anasema yeye yuko mahala fulani,anafanya kazi huko na kampuni gani sijui [emoji1787]..anatafuta mashine..
Hizo machine Mbeya wanauza bei rahisi kwahiyo amenipa dili ili tupige Hela..
Ataniunganisha na mtu,huyo anaziuza mashine...nimpigie aniuzie halafu kwenye risiti aandike hela pungufu[emoji23]inayobaki juu tunagawana.
Nikipiga nimwambie kaka Daudi amenipa namba
Anauliza nikutajie namba??
Nikamwambia nitumie kwenye msg..
Akatuma,akapiga Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Mimi.
Tayari shouzzzzzzzz hiyo picha?Usiwaze shos badae ntatupia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzzzzz acha kunijaza bas nawee.Weeeeehhhh mi naona ya jana usiku ulinoga hatari!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulipitwa wapi?Emu nione afu nikwambie [emoji41]
Sio moja sasa kama tano hivi!Tayari shouzzzzzzzz hiyo picha?
Ameeeeeeeen!!!!View attachment 2155583
Ni jukumu letu sote kuendelea kukumbushana umuhimu wa kuwa na afya njema Kwa watu wa Rika lote. Though msisitizo zaidi uendelee kutolewa Kwa vijana wanaochipukia.
Unapokuwa unaugua mara kwa mara huathiri kipato chako pamoja na kuathiri shughuli zako za maendeleo Kwa ujumla, kwani itakulazimu kuhudhuria kazini mara chache wakati muda mwingi ukitumia hospitali kujiuguza.
Sio HIV tu bali hata maradhi mengine pia yachukuliwe Kwa uzito unaostahili hasa Pressure, Kisukari, Moyo, Saratani n.k hasa kwa sisi Wazee[emoji87]
God is good all the time [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pumbu Safi za mbuzi View attachment 2155687View attachment 2155686
Sana tuu ..Basi leo sikuwa na bahati yaani. Basi tu acha nipambane na hali yangu...
We ulishawahi kuselfika hapa?
Hapana jamani[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Hivi smile la bosi ledi umeshaliona lakini???[emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeenda na biti yao
Nimefuata maelekezo yao hadi mwisho.
Karibu saa nzima naongea nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kumbe yamekaa sehemu moja bwana[emoji1787]
Nadhindwa hata nianzie wapi kuhadithia[emoji23][emoji23][emoji23]
These people made my day[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pep
Uko vzr aseehhh!!hukatai asili yako na unajivunia fakhari yako big up Sana'a!!mpwa anajua kisukuma kweli hukoo?!![emoji1]
Kwa kweli uko vzr kabisaa!kuna mbalu,buyegi,ng'walu,nchambi!majina ya mashangazi hayoo!!!
Kumbe eminza limetokana na babinza
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
NdyoooooohStay there muda si mrefu nashusha vitu!!