NdiwoooKaka tena!!
We bisha tuuMmmmh, uongo!!
Tutashushia na nini shemeji?Atoto shemeji... karibu majiView attachment 1246332
Sasa mbona kama ni hivi una macrush kibaaaaaoNdo alikuwa first crush auntie![]()




Tutashushia na nini shemeji?
Shemeji hata kanyama choma jamani?Unashushia ushindi wa pyramid shem we si upigi vyombo











Huu Uzi baada ya miezi miwili tutarajie kutamalaki kwa nyuzi zenye vichwa vifuatavyo..
1. Wanaume wote Ni sawa tu mxiiiiiieeewwww
2. Amenigegeda akaniacha
3. Wanawake punguzeni kudanga mtatuua
4. Sitasahau alichonifanyia yule hayawani baada ya kwenda kwake.
5. Wanawake tujifunze kutokana na makosa
6. Hivi wanawake wa Dar mtaacha njaa lini ??
Yetu Macho Tu.
Dooh nimevua kitenge changu ndo nikakumbuka kupiga picha etiWale walokumbuka kusali,ndo tunatokea kwa church!View attachment 1246106
Haina shida; muwe mnaninunulia tu me nijinome.Hivi ni mdudu eeeh? Hata mimi situmii kabisa.
Nimeona ni kama mdudu haki!
Uko kama mimi, sijawahi ikula kabisaa!
Em thubutu kunialika na mimi basiNjoo nikupikie keki nikununulie na mirinda nyeusi kubwa, unyweee hadi uvimbiwe.
Daaaaaah
...Shemeji hata kanyama choma jamani?
Kwa mahesabu yangu we mtoto sio haba








Hiyo nguo inaumiza macho. Pandisha kidogo kwenye upajakisha upige tena tuweze kuhesabu maana hatuoni.
Nijikute!!Haina shida; muwe mnaninunulia tu me nijinome.