Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzee baba nunua mwiko mzuri, non sticky sauce pan n.k

Ukiwa na hayo mavitu hata mchuchu akikutembelea anakuwa anatamani arudi tena...

Sasa ukiwa na sufuria la wapikia supu ya makongoro au utumbo inakuwa noma sana...
Sidhani kama kuna mtu hapendi vitu vizuri, ukiona hivyo ujue maybe ndio anaanza kujipanga. Lakini pia mara nyingi wanaume huwa sio experts wa hayo mambo, wao hununua tu vyombo ilimradi wapike.
 
Yeah, ndio nampa ujuzi kidogo...heheh

Halafu hata sio aghali, kuna vile vinauzwa second hand vipo in good shape tu...
Sidhani kama kuna mtu hapendi vitu vizuri, ukiona hivyo ujue maybe ndio anaanza kujipanga. Lakini pia mara nyingi wanaume huwa sio experts wa hayo mambo, wao hununua tu vyombo ilimradi wapike.
 
Back
Top Bottom