Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Asante sana jamaniMwenyewe...karibuu
Asante sana jamaniMwenyewe...karibuu
Pampula kwakweli hili siamini hadi uite mashuhuda.Hahahaha kile ndio cha kwanza...asili tulishaitupa mbaliii, sitaki tu kutag mashuhuda

Kwahiyo unakwenda au?Asante sana jamani
Sikulagi hiyo nyama kabisaa!Kwahiyo unakwenda au?
AbeeeeeAuntieeee![]()
Hivi ni mdudu eeeh? Hata mimi situmii kabisa.Sikulagi hiyo nyama kabisaa!
Labda aniandalie mirinda nyeusi na keki
Misa ya kwanza saa12 auntie.Abeeeee
Wewe hujaenda ibadani kabisa eehh...
Dominika ya 30, mwaka C. Jitahidi uende
Nimeona ni kama mdudu haki!Hivi ni mdudu eeeh? Hata mimi situmii kabisa.
Nikimtafakari tu alivyo naweza tapika.Nimeona ni kama mdudu haki!
Uko kama mimi, sijawahi ikula kabisaa!
Ya pili naonaga uvivu. Ya kwanza ndio huwa tunajaa wazee.Hongera sana auntie!
Nilienda ya pili!
Njoo nikupikie keki nikununulie na mirinda nyeusi kubwa, unyweee hadi uvimbiwe.
Pole mnoo jamani
Pampula kwakweli hili siamini hadi uite mashuhuda.![]()
Waite bwana, bila hivyo sikuamini.Watakuja hapa automatically..
.tuwasubiri
Ndio hivyoweee

Haya tukijiandaa kumlaza pyramids..lazima tuandae cha kusindikizia
Bachelor suguView attachment 1246097


