Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
GotchaTons of responsibilities, mate!
GotchaTons of responsibilities, mate!
hahahahahhaahhaha nimecheka king ngeseHilo sketi lako la marinda labda utoke na ABIUD MISHOLI
Selfika basi naniiGotcha
😃😃😃😃😃😃 tumepumzika na wachumba zetu.. unaka upite wapi
Daah baba Joy Mungu akuweke sana. Yaani tangu nione hii comment ni ninacheka hadi machozi. Kwa nini kumtaja Mtumishi wa Mungu lakini?Hilo sketi lako la marinda labda utoke na ABIUD MISHOLI
Tupia basiDaah baba Joy Mungu akuweke sana. Yaani tangu nione hii comment ni ninacheka hadi machozi. Kwa nini kumtaja Mtumishi wa Mungu lakini?
Watu na mapenzi Yao.Daah baba Joy Mungu akuweke sana. Yaani tangu nione hii comment ni ninacheka hadi machozi. Kwa nini kumtaja Mtumishi wa Mungu lakini?
Nguva hiyoWatu na mapenzi Yao.
Kwangu Mimi mwenye nguo ya staha ndiye ananivutia zaidi kuliko pedo.View attachment 2153416

Mawe au?Tupia basi
Yeah kila mtu apendezavyo. Mimi mwenyewe huwa wananivutia, ila siwezi kuvaa hivyo.Watu na mapenzi Yao.
Kwangu Mimi mwenye nguo ya staha ndiye ananivutia zaidi kuliko pedo.View attachment 2153416
Nguva....sijui majina ya nguo za kikeNguva hiyo
Halafu acha uhuni![]()
Sio Lazima iwe muundo huo Bali.....nadhani unaelewa HSYeah kila mtu apendezavyo. Mimi mwenyewe huwa wananivutia, ila siwezi kuvaa hivyo.
mihogo mitamu 😊😊Mawe au?
Sijui kwa nini kamchagua Abiudi Misholi. Nina CD zake kama nne hivi imebidi nikazitafute yaani. Huu wimbo wa Tenda Miujiza Naupenda sana. Nimeusikiliza huku nacheka yaani. JF bana dah!Daah baba Joy Mungu akuweke sana. Yaani tangu nione hii comment ni ninacheka hadi machozi. Kwa nini kumtaja Mtumishi wa Mungu lakini?





Lakini imechoraYeah kila mtu apendezavyo. Mimi mwenyewe huwa wananivutia, ila siwezi kuvaa hivyo.

TupiaAnasemaje boss wangu?
Nimekuelewa. Mimi binafsi huwa navaa kutokana na mazingira; pa stara nagonga vitu vyangu vya kistara; muda wa casual aah kama sio mimi mvaa vitengeSio Lazima iwe muundo huo Bali.....nadhani unaelewa HS
UsiniambieNimekuelewa. Mimi binafsi huwa navaa kutokana na mazingira; pa stara nagonga vitu vyangu vya kistara; muda wa casual aah kama sio mimi mvaa vitenge
