Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,859
Kuna mwingine hivi hapendi suruali zile skin jeans.Mambo ya kuvaa Kama mashahidi wa yehova Mimi sijafagilii kabisa
Hakii wanaume nanyi hamjui mnachokitaka.
Sikumtu anitoe out kama sijamuendea na sketi langu la marinda