Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Aisee Abiud ana nyimbo nzuri sana za kuabudu. Kanichekesha sana baba JoySijui kwa nini kamchagua Abiudi Misholi. Nina CD zake kama nne hivi imebidi nikazitafute yaani. Huu wimbo wa Tenda Miujiza Naupenda sana. Nimeusikiliza huku nacheka yaani. JF bana dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2153419