[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc wee achana nao, leo umeamini mwenyewee, nikiwaga nasema humu watu ni wanafiki hawajui wana amini na kusimamia nn, naonekana mja laana, leo wameonesha wazi wazi,
Wakianza kuweka pambio za kuabudu na kusifu, hivyo vifungu vya bible, tena kwa lugha zote, hahahahah leo watu wamejivua gamba na kuwa watupu, woiiiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app