Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,860
Sio vizuri 🤣🤣🤣🤣Mimi hapana aisee [emoji3][emoji3][emoji3] nikikuona tu kwa mbali nachimba
Sio vizuri 🤣🤣🤣🤣Mimi hapana aisee [emoji3][emoji3][emoji3] nikikuona tu kwa mbali nachimba
Hili ni jipya. Unamaanisha tuishi tutakavyo kwa sababu damu ilishamwagikaTuna hesabiwa haki bure kabisa kwa ajiri ya Damu yake aliyo mwaga msalabani.. hatu hesabiwi haki kwa kazi na matendo ya mwilini au kazi zetu.. bila hivyo Kristi alijitaabisha msalabani [emoji2][emoji2][emoji2]
Yes... Mie ni mshindi dogoo.. kama umekubali kushindwa sawa ila kama bado still napigilia misumali hakuna dhambi itokanayo na mavazi au uvaaji..Aiseee
Basi tufanye umeshinda wewe unayejua kila kitu,mtaalamu wa mambo yote ya kimungu hapa duniani
Ma mchungajiMkimaliza mtaniambia niselfike. Ubishi tu[emoji17][emoji17]
Kwenye ndinga naamini hunipati wallah hivi, wee subiri ntakustua, c ni bagamoyo road? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuskikiza ww boss. Pumzi unayo kwanza? au maneno tu[emoji16][emoji16][emoji16]..Nisije kuacha njian.
Niite Kipong uone maajabu 😂[emoji1787][emoji1787]
Ebu tuone...I wish ungeniona leo 😁😁😁
[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]Hilo sketi lako la marinda labda utoke na ABIUD MISHOLI
Prove hapa tuone, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pedo sio dhambi, kimini sio dhambi, suruali sio dhambi, vipini sio dhambi, vikukuu sio dhambi na urembo inshort sio dhambi.. ukitaka kimaandiko nita prove, ukitaka kisiasa nita prove na ukitaka kimazoea pia nita prove [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Umeshinda na dhambi zakoYes... Mie ni mshindi dogoo.. kama umekubali kushindwa sawa ila kama bado still napigilia misumali hakuna dhambi itokanayo na mavazi au uvaaji..
Wapo wanaoyaelewa hizo pigo hasa Hawa wachungaji wa makanisa ya mabati utawapata tu [emoji3][emoji3]Sio vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Biblia haina maana hiyo, na haisemi kwasababu Neema ipo haimaanishi tutende dhambi, sie tulio ifia dhambi pamoja na Kristo kwa Imani inakuwaje tuishi tena katika dhambi? la hasha tumekufa pamoja na Kristo, tumefufuka na kristo tumuishie Mungu tuzae matunda yapasayo toba na hakiHili ni jipya. Unamaanisha tuishi tutakavyo kwa sababu damu ilishamwagika
Mie sina dhambi kama wewe 😎😎😎Umeshinda na dhambi zako
Wala sihitaji unieleweshe chochote..misumari kapigilie huko kwenye vipedo ili wazidi kuvaa.
acha nimtoe mtu kamasi kwanza.. leo sina mishe nime chil na totoz hapa imeniwekea ka mguu 😂😂😂😂Prove hapa tuone, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nyokoooo zako wee,. Afu vipi vocha sipati? Nimeona ume draw kitu hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana jioni [emoji23][emoji23]
Hapa naungana na wew hakuna hio dhambi kabisa maanake wazungu wanavopiga zile bikini zao vibukta wote Wana dhambi hahYes... Mie ni mshindi dogoo.. kama umekubali kushindwa sawa ila kama bado still napigilia misumali hakuna dhambi itokanayo na mavazi au uvaaji..
Ombi languWee nae umekuja mbio mno, sasa ole wako ufanye mafekeche waone wengine, ntakata nyanya 2 hizo zinazobembea chini ya kiuno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi si ushushe essay, wee si ndo mama wa imani na mafundisho? UwiiiiiiihMkimaliza mtaniambia niselfike. Ubishi tu[emoji17][emoji17]
EwaaaMie sina dhambi kama wewe [emoji41][emoji41][emoji41]
Na niseme halelujahAiseee
Basi tufanye umeshinda wewe unayejua kila kitu,mtaalamu wa mambo yote ya kimungu hapa duniani