Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwahyo na wazungu wanaotetea ushoga wana dhambi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo mmekamatwa woiiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mashoga dhabu yao ipo clear kwenye maandiko hiyo huitaji nguvu kubwa kuelewa.. But Kuna neema na huruma za Mungu.. sio kila shoga ni shoga.. wengine ni mashoga kwasababu wapo under influence ya devil himself.. Mashoga wengi wanaacha na kuwa watu wazuri kwa Mungu na kumtumikia Mungu..
 
Sasa umeshinda kutetea dhambi nifure kitu gani hapo?
Ushinde kwa kutetea dhambi halafu nifure mimi?
Hebu kuwa siriazi kidogo[emoji16]
dhambi gani nimetetea 😄😄😄 huna hoja huna unachojua kwa habari ya dhambi na haki.. wewe sio Roho Mtakatifu.. dhambi ipo clear kwenye maandiko, na Roho hukumbusha yote
 
Kwanza dhambi zipo kwenye category tatu.. Sin against God , Sin against yourself na Sin against your beloved ( ndugu).. unataka nianzie wapi.. pia nikuulize swali? Maana ya dhambi ni nini?
Hayo yote uyaeleze wee, mie nataka ufahamu kutoka kwako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Dogo anaishi sijui wapi.. swala mavazi lipo sana kitamaduni na ki mazingira.. kuna wadada na wamama nawajua wapo deep deep spiritual and Holy ila ukikuta min wanazo piga utapenda.. au suruali na wanapendeza.. mazingira waliyo kulia na tamanduni zao.. aende kuangalia kanisa la Joel Osteen.. labda ataachana na itikadi zake [emoji2][emoji2][emoji2]
Utamaduni wa Msukuma ni polygamy. Je wasukuma walipaswa kuhubiriwa ukristo na kuendelea na utamaduni wao?
Kipi ni sahihi?
 
Hayo yote uyaeleze wee, mie nataka ufahamu kutoka kwako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ukishafahamu unataka kufanyaje? Mungu mwenyewe kwa majira yake ikimpendeza atakupa ufahamu.. na isipo mpendeza kimbembe kina kuhusu.. 😄😄😄😄😄😄
 
20220316_154505.jpg
 
Kwa walokole hao sijui kina Calvary

Nguo fupi automatically kwao ni dhambi… nafanya nao kazi kwa 100% nakomaje 🤣
walokole gani hao.. mbona walokole wengi wanachapa mini, skin jeans pendo etc.. na wapo on fire kuliko wavaa majuba 😎😎
 
Hawa madogo wako shallow Sana mkuu ndio maana Ni rahisi kupigwa sound na wachungaji uchwara wazee wa mafuta and the likes [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa v8 leo umekamatwa na mdogo wako, unabaki kuhaha hujui ushike lipi na usimame wapi, poleeeeeeeh sana,. Afu kuna members 2 nataka na wao wawepo ili nione na wao wanajipambanua vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwa walokole hao sijui kina Calvary

Nguo fupi automatically kwao ni dhambi… nafanya nao kazi kwa 100% nakomaje [emoji1787]
Ndio Mambo aliokua anayasema 9.8ms squared elimu ya dini inataka uelewa mpana otherwise wanakua wanameza tu Kama vilivo wanawamezesha pia hawajasoma chochote kuhusu theology wanasema wameoteshwa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio Mambo aliokua anayasema 9.8ms squared elimu ya dini inataka uelewa mpana otherwise wanakua wanameza tu Kama vilivo wanawamezesha pia hawajasoma chochote kuhusu theology wanasema wameoteshwa [emoji3][emoji3][emoji3]
kadogoo Saint Anne nakaambia nimekula shule for 10 years kana ibeza.. hiyo shule ndio imenipa kufahamu nyeusi na nyeupe.. walokole wengi wavivu kujisomea na wavivu hata kwenye maisha wao ni wazee wa fire fireee wakifikiri mambo huja automatic 😂😂😂😂..
 
kadogoo Saint Anne nakaambia nimekula shule for 10 years kana ibeza.. hiyo shule ndio imenipa kufahamu nyeusi na nyeupe.. walokole wengi wavivu kujisomea na wavivu hata kwenye maisha wao ni wazee wa fire fireee wakifikiri mambo huja automatic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Eti fireeeeeee fireeeeeeeeeeee no ofence Ila na wengi wao uchumi hua unasua sua Sana wako too conservative
 
Back
Top Bottom