Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Walokole
Waliokoka kwa 100%
Wanayoyaishi maisha ya utakatifu at least kwa 85%
Nguo fupi kwao ni dhambi/ haijakaa sawa kimaadili.
Waliokoka kwa 100%
Wanayoyaishi maisha ya utakatifu at least kwa 85%
Nguo fupi kwao ni dhambi/ haijakaa sawa kimaadili.
walokole gani hao.. mbona walokole wengi wanachapa mini, skin jeans pendo etc.. na wapo on fire kuliko wavaa majuba 😎😎

haipo!