Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,296
- 28,427
Usiniombe picha, nitakuja tuonane. Nipe lokesheniKwanza kabla hatujaongea lolote,naomba picha niliyokuomba juzi.
Usiniombe picha, nitakuja tuonane. Nipe lokesheniKwanza kabla hatujaongea lolote,naomba picha niliyokuomba juzi.
Nipe kwanza nilichokuomba bwanaUsiniombe picha, nitakuja tuonane. Nipe lokesheni
I wish ungeniona leo 😁😁😁Kasiwe tu kamevaa nguo zinazoashiria kwao hakuna wakubwa
Umevaa kama watoto walioshindikana?😂I wish ungeniona leo 😁😁😁
umechapa ka bukta ebuu njoo ofisini nione ☺️☺️I wish ungeniona leo 😁😁😁
😁😁😁😁😋😋😋😋 tufungue tea bar.. chai inanitoa udenda.. naweza inywa hii mala tatu kama dozi
hii itapendezea mitaa coco coco kwenye design usisahu kachumba ka mikutano private mteja akitaka anafanya booking analipa kwa kila lisaa 😎😎😎😁😁😁😁
Haya tafuta ka-lacation baabkubwa...mie naanza kufanyia kazi design na kuandaa menu 😉
Eeh kwetu mimi ndiyo mkubwaUmevaa kama watoto walioshindikana?😂
weeeeeeeeeeeee dadaaaaa[emoji2960].Eeeeeh hapa sasa, mamaaaaaaa weeeeeh,
Tobaaaaaah, cheki kiumbe alivyokuwa mtamu kwa matumizi ya kiumbe anaekojoa kwa kuchuchumaa,
Hebu weka ingne ambayo uko casual, hizo lips, macho, ndevu za kichokozi, woiiiiiiiiiih mie [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Aisee🙆♀️Eeh kwetu mimi ndiyo mkubwa
Naenda kumtembelea dada yako; ila amesema haongozani na watu kama mimiumechapa ka bukta ebuu njoo ofisini nione ☺️☺️
Nipo, nimerejea tena jukwaani dadaangu. Si unajua tena majukumu.Ulipotea sana mkurugenzi.
Tunafurahi kukuona tena boss.
Labda tukukalishe ujiunge team yetu. Nishaona dalili za wewe kutuvalia vya faraghani beach ⛱️⛱️Aisee🙆♀️
Itabidi niwakalishe vizuri..
Ndugu yako naye ananivalia kaptura eti
achana nae huyo.. asilete mambo ya ujima.. kule kipensk na ki pedola safiiNaenda kumtembelea dada yako; ila amesema haongozani na watu kama mimi
Ni balaa[emoji2960]Aisee
@Nuzulati ni balaa[emoji2960]Aisee
Mimi huyu??Labda tukukalishe ujiunge team yetu. Nishaona dalili za wewe kutuvalia vya faraghani beach [emoji3553][emoji3553]