Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Acha nikatoe kamasi.. 😄😄😄😄😄Saint Anne 9.8ms squared stop it. Pleaseeeee
Acha nikatoe kamasi.. 😄😄😄😄😄Saint Anne 9.8ms squared stop it. Pleaseeeee
Ndio uone watu walivyo wanafiki kwenye dhambi.Uzi tayari ushakua wa dini, toka selfika hadi kuwa dini, woiiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Leo naona mnyukano mkali wa familia 1 hapa, sie watazamaji tyuuh.Tatizo Vijana wanasifia yasiyopaswa.

Na hakika wachache wapo kwenye njia ya haki.Wewe vaa pedo si lazima unielewe na elimu yangu.
Yaani right is right even if no one is doing it
Ipo hivyo,..
Wewe kutoelewa hainitishi chochote.
Hahaaaaaa. HauepukikiMimi sitaki hata kuusikia
Ingawa unanibip![]()
😃😃😃😃😃 mie tena nivae kipedo..Wewe vaa pedo si lazima unielewe na elimu yangu.
Yaani right is right even if no one is doing it
Ipo hivyo,..
Wewe kutoelewa hainitishi chochote.

halafu unakumbuka ahadi yetu ya kufanya mashindano? ulinambia utakuja na ndinga. Hatujaitekelezaga.Tuna hesabiwa haki bure kabisa kwa ajiri ya Damu yake aliyo mwaga msalabani.. hatu hesabiwi haki kwa kazi na matendo ya mwilini au kazi zetu.. bila hivyo Kristi alijitaabisha msalabani 😃😃😃Na hakika wachache wapo kwenye njia ya haki.
shukran sana. Tuko pamoja.Karibu tena boss
Emu nisafishie macho kwanza nahisi ukunguLeo naona mnyukano mkali wa familia 1 hapa, sie watazamaji tyuuh.
Tunataka kuona wanaishia wapi, watu weuweeeeeeeeeeh, sie yetu macho hahahah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
E bwana unatupia tumie tena nivae kipedo..
usinijaze upepo nikamshusha mzima mzima hapa ndio ujue nimempa maujanja au. laaaa...
mtu anavaaa kama anaenda kuhani msibani.. kumbe mnaenda three star hotel kunywa ka kaahawaaaa
![]()

muulize mahondaw mie n mzungu bhana, 

😃😃😃😃😃😀😀😀 Ushoga nani anafurahi.. kigezo cha kumtenga mtu ni kipi? unajuaje kama sijamtenga au nimemtenga.. naweza kukuambia nakupenda na nikawa nakuchukia kuoita kiasia na ukikutana na mie nakuchekea 😎😎😎Ndio uone watu walivyo wanafiki kwenye dhambi.
Uliplleta ushoga huku walikutenga sana na kukemea vikali,,, na kukuona hufai
Ila kwenye kuvaa hovyo wanakupambania nankukupamba kwa hali zote.
Usha panick 😃😃😃😃😃E bwana unatupia tu
Unajua nn mie ndo maana kwenye masuala ya dini nilishakataa na huwa sitaki kuelezea, coz najua natetea vitu vunavyokinzana na hiyo dini, stakagi unafiki hata mie.Ndio uone watu walivyo wanafiki kwenye dhambi.
Uliplleta ushoga huku walikutenga sana na kukemea vikali,,, na kukuona hufai
Ila kwenye kuvaa hovyo wanakupambania nankukupamba kwa hali zote.

Kwa kipi hasa?Usha panick![]()
Sidanganyiki 😂😂😂😂😂.. huwezi nijaza upepo kirahisi nikamwaga mbogaaamuulize mahondaw mie n mzungu bhana,
Wee eti anavaa kipusa hivyo, mie full naked na niliweka hapa lol.
Ataniweza wapi huyoooo wako? Aje nimpe darasa.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Jioni ntakutag shoga angu,Inaonekana una swagga hatari ..
Siku ukitupia naomba unitag shosti .

usinijaze upepo nikamshusha mzima mzima hapa ndio ujue nimempa maujanja au. laaaa...
mtu anavaaa kama anaenda kuhani msibani.. kumbe mnaenda three star hotel kunywa ka kaahawaaaa
![]()

Mimi mtu avae hivo magauni yanagusa viatu abadan siwezi kuongozana naeNa hao wanaotetea dini wako biasedUnajua nn mie ndo maana kwenye masuala ya dini nilishakataa na huwa sitaki kuelezea, coz najua natetea vitu vunavyokinzana na hiyo dini, stakagi unafiki hata mie.
Nawazoom tyuuh hapa.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app