Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi wewe na uliowafundisha wote mnaenda kudumbukia shimoni.

Siwezi kupita hilo darasa aisee.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.. Go back to genesis ndio utaelewaaa kidogoooo.. mambo ya mavazi, vikukuuu.. vipini puani mambo kama hayooo inabidi tukishtue kidogo siku moja moja ule ki pensi
 
[emoji28][emoji28]
Hahahha vibukta sina inabidi nitafute Uncle ...
Maisha ni haya haya .
Ewaaaa... weka order nikienda dubai nakule vyenyewe kabisaaa... OG achana na hivyo vya k. koo sijui sinzaaa.. kula kibukta, kula kipedo kula snicker kali pale.. safii na kikuu cha gold mguuni.. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ewaaaa... weka order nikienda dubai nakule vyenyewe kabisaaa... OG achana na hivyo vya k. koo sijui sinzaaa.. kula kibukta, kula kipedo kula snicker kali pale.. safii na kikuu cha gold mguuni.. [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahha nitaweka order aisee ...
Inapendeza kubadilisha mwonekano mara moja moja. Kwenye kikuku sasa [emoji23] [emoji23].
 
Back
Top Bottom