Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,860
๐๐๐๐ wewe huyo sasaWee huyo? Labda wa mchongo lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
๐๐๐๐ wewe huyo sasaWee huyo? Labda wa mchongo lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Amejihifadhi ki staha kabisa[emoji1787]We jamaa na kapicha haka. Sijui unamlenga nani
Hakika uzee ni busara.Siamini
Kama unazeeka[emoji1787]
Kutamani ni sawa na kuchagua utende dhambi au usitende ipo ndani ya uwezo wako ๐๐Uzuri wa mwingine unakuhusi Nini wewe zaidi ya kukutia tamaa!
Swala la kutamani linatokana na ushawishi kwenye mazingira.
[emoji1787]mchukia kaptula [emoji1][emoji1][emoji1]
kama anataka zingine folder zima zipo ๐๐๐๐Amejihifadhi ki staha kabisa[emoji1787]
Miaka yako kwenye kupikwa itakuwa si chochote kama haitakusaidia kutenda kweli.[emoji1][emoji1][emoji1] Tumepikwaa 10 years school zote.. hizi zimekaa kwa head
Soteriology, Pnuematology, Atonement Theory, Angelology/ Demonology, Eschatology, Ecclesiology, Canonicity
Tatizo Vijana wanasifia yasiyopaswa.Uzi tayari ushakua wa dini, toka selfika hadi kuwa dini, woiiiiiiiih
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Na kwanini utamani[emoji848]Uzuri wa mwingine unakuhusi Nini wewe zaidi ya kukutia tamaa!
Swala la kutamani linatokana na ushawishi kwenye mazingira.
๐๐๐๐ Vipi Bia pombe safari lager wine alcohol unasemaje maana waroma wanazichapa kama kawa na zaidi ya 10 years?... naona pumzi imekata ๐๐๐ nani kakuambia hajasoma Theology.. au ulitaka akutangazie? au nikupe prove kasoma au utabisha ๐๐๐Miaka yako kwenye kupikwa itakuwa si chochote kama haitakusaidia kutenda kweli.
Hakuna watu wamepikwa hii dunia kama viongozi wa kanisa katoliki ila ajabu pamoja na kuiva kote baadhi yao wameamua kuunga mkono mambo yaliyo chukizo kwa Mungu .
Kwahiyo hiyo miaka 10 na hayo mavitu yote umetaja,bila kuisimamia kwenye kweli basi ulipoteza muda bure.
Halafu basi unajikutaga wewe mwamba pekeyako umesoma na unajua kila kitu.
Mimi nina kaelimu kangu kadogo ka bible knowledge na nikakafanyia necta..+elimu ya mafundisho ninayopata sehemu mbalimbali +mafundisho ya Roho Mtakatifu mwenyewe ambayo ni muhimu kuliko mengine yote.
Na nayatumia kwa maendeleo yangu binafsi kiroho na wala si kuja kudorishia watu kwamba na mimi nilisoma.
Mwakaseghe hata theology hakwenda kusoma formally.
[emoji1787][emoji1787]kamelala mbele tayari [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wako badooo sana kwa unyana wa swaggz, maujanja na uzungu, hanifikii hata roboo, mie ni komesha, nna makombora ya hataree kwenye gallery angu, nlishawahi weka hapa,alafu eti ivaaa gauni hadi kwenye visigono.. khaaaa... [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ebu hata wewe shosteee sema jamani
Hahaaaaaa nani huyoAmejihifadhi ki staha kabisa[emoji1787]
Wewe vaa pedo si lazima unielewe na elimu yangu.Mtakau ka mwaisaaa.. maana mashambulizi yamekuwa makali sanaaa [emoji1][emoji1][emoji1] kaelemewa sanaaa.. hakuna anae muelewaaa na elimu yake
Mimi sitaki hata kuusikiaHakika uzee ni busara.
Macho hayo, msieeeeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe huyo sasa
Hili ni swali?Na kwanini utamani[emoji848]
๐๐๐๐ usinijaze upepo nikamshusha mzima mzima hapa ndio ujue nimempa maujanja au. laaaa... ๐๐๐๐ mtu anavaaa kama anaenda kuhani msibani.. kumbe mnaenda three star hotel kunywa ka kaahawaaaa ๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wako badooo sana kwa unyana wa swaggz, maujanja na uzungu, hanifikii hata roboo, mie ni komesha, nna makombora ya hataree kwenye gallery angu, nlishawahi weka hapa,
Huyo kanizidi tatooo na shape, wee acha watu wawe casual bhana, mie mambo ya dini staki kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Avae magauni ya marinda huyo awe mama mkubwa wa kirangi. Woiiiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Inaonekana una swagga hatari ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wako badooo sana kwa unyana wa swaggz, maujanja na uzungu, hanifikii hata roboo, mie ni komesha, nna makombora ya hataree kwenye gallery angu, nlishawahi weka hapa,
Huyo kanizidi tatooo na shape, wee acha watu wawe casual bhana, mie mambo ya dini staki kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Avae magauni ya marinda huyo awe mama mkubwa wa kirangi. Woiiiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app