Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtafute sasa mwimu wa Neno la Mungu akufundishe
Maana hili ni somo.
😃😃 Mie mwenyewe mwalimu.. hakuna andiko la mavazi.. isipokuwa kuna maelekezo ya mavazi na yalitolewa katika jamii flani na ilikuwa kwasababu.. sasa kama unachukua andiko ambalo lilikhwa direct kwenye jamii fulani na kutaka lifanye kazi kote ume fail 😄😄😄😄
 
images.jpeg
 
Mie mwenyewe mwalimu.. hakuna andiko la mavazi.. isipokuwa kuna maelekezo ya mavazi na yalitolewa katika jamii flani na ilikuwa kwasababu.. sasa kama unachukua andiko ambalo lilikhwa direct kwenye jamii fulani na kutaka lifanye kazi kote ume fail
Kumbe unajua yote mwenzetu hongera.
Wewe ni fundi.

Bila shaka unasali kanisa ambalo wanawake wanavaa suruali.
 
Back
Top Bottom