Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna nilipofail
Ni watu tu wanajitoa ufahamu na kufuata mkumbo.

Kama wewe kwako mavazi hayana uhusiano na wokovu basi ni sawa,,siku moja moja anza kujitupia tu kitaa uchi ..it has nothing tl do with your salvation.
hakuna mahala nimesema kutembea uchi 😃😃😃.. ila style ya mavazi na design inategemea na tamaduni za watu.. mavazi na design sio tiketi ya utajatifu.. acha totoz zile vipedo vikaptula vimini.. vipunge upepo.. ni swala la kuchagua na sio swala la kunyoosheana vidole
 
Bado hizo scenario siyo guarantee ya watu kujustfy uvaaji wao wa hovyo.

Na hapa ndipo wakristo wengi tumepigwa Gap na wenzetu wa upande wa pili kwa sababu tu za kijinga za kujitoa ufahamu.
Hakuna kitu weweee... Mkristo ni roho.. tamaduni zinaonesha aina ya mavazi.. ebu anzaga kuvaa kama kina Mariam Magdalenaa basi ili uwe Holy Hasaaa na Kipara ngoso aanze kuvaa kama kina Petrol 😂😂😂😂..
 
hakuna mahala nimesema kutembea uchi .. ila style ya mavazi na design inategemea na tamaduni za watu.. mavazi na design sio tiketi ya utajatifu.. acha totoz zile vipedo vikaptula vimini.. vipunge upepo.. ni swala la kuchagua na sio swala la kunyoosheana vidole
Ukweli usemwe na wala hakuna mahala tumenyoosheana vidole.
We vipedo tu hata wakitembea uchi ni sawa lakini kikubwa kweli ipo wazi na kila mtu anajua.
 
Hakuna kitu weweee... Mkristo ni roho.. tamaduni zinaonesha aina ya mavazi.. ebu anzaga kuvaa kama kina Mariam Magdalenaa basi ili uwe Holy Hasaaa na Kipara ngoso aanze kuvaa kama kina Petrol ..
Hakuna kitu kwako aisee,,
Kwangu mavazi ni muhimu mno

Na watu wengi wanaojidai kwenda na dunia wanatafuta justifications kwenye mavazi ya kina Mariam ili kutetea uvaaji wao usio na maadili.
 
Wasabato hata nywele tu.. sasa huyo ana weka manywele fake ambayo kwa wasabato anaonekana hana roho tuu.. .. issue ya mavazi panaa.. na haiwezi amua mtu kwenda kuzimuni.. acha watoto wapendezaa.. na vimini.. tuone kilichomo
Mimi kuweka weave kichwani bado si tiketi za watu kuvaa hovyo.


Ajabu ni pale unaposhindwa kutambua kuwa Neno la Mungu ni upanga ukatao pande zote.

Kwahiyo hatulisemi tu ili limpe favor Anne.
Naye kuna muda akijitoa ufahamu linamchinjia mbali.
 
Mimi kuweka weave kichwani bado si tiketi za watu kuvaa hovyo.


Ajabu ni pale unaposhindwa kutambua kuwa Neno la Mungu ni upanga ukatao pande zote.

Kwahiyo hatulisemi tu ili limpe favor Anne.
Naye kuna muda akijitoa ufahamu linamchinjia mbali.
😃😃😃 ebu leta kaandiko kana ko suport uvaaji wa vi bukta na vipedo kuwa ni nomaaa
 
Back
Top Bottom