Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Thank you
Sweet dreams
Thank you
Fanya namna bestKaribu sana mkuu, zipo za kutosha
lalaaaa tu unono shosteeee9.8ms squared wee shostieee hebu nioneshe hizo picha za duu wa kijanja, huenda akawa type yangu.
Maana mie mwenyew nnaa mikato, swaggz na uzungu flan iviii,
Km huweki nambie nilale tyuuh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Poaaa poaaaah, ila sio fresh wala nn. Ila ouk ngoja ipite hivi.lalaaaa tu unono shosteeee
Hizo skuna nyeupe ni kama za Mzee Kang LugolaKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Wacha vitisho!unajipangia masharti ama
SenjeleDaah bango la Pep sijui tuliweke wapi

Ma mchungajiAngalau wewe utamuunga mkono.
Mimi si unajua hata wewe nilikwambia kuhusu kaptura![]()


Kuna pichaAiseee
Nilishamwambia mbona watoto wataona kama kwao alishindikanika
Kaptura aisee.
Kwenu hakukuwa na wakubwa?

Hapana siyo wivu
Tattoo naona kama ni za watu walioshindikana![]()

Nani kakuambia mzee huyoo..![]()

Bila Bosi Ledi kuonekana japo mara moja hapa uzi unakosa ladha. Huoni masaa karibu tisa mnajadili utopolo wa sijui tattoo, sijui mtepesho, sijui nini....Angekuwepo Bosi Ledi kungekuwa na balansi ya mada...tena awepo na shouzz yake wa jomoniii na mizagamuko weh! Mbona ni![]()

Tunataka mjiniSenjele![]()
Eeh kama kawaMa mchungaji
Huwa anatupia
Vikaptula![]()
hahahahhah sawa mzee....msalimie joyceNimempga chini Kaka
Wengine hatupendi tu gari za chini aiseeSedan for life... why unapenda SUV my kipenzi sister![]()


We mtoto hebu wacha kunizibia riziki huko hutaki dada yako nikapande mavieite na marange rover

