Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,199
Wacha wee.kibukitaaaa ndani ya mjengoooView attachment 2150578
Ukimleta huyo tutakemea mapepo
Amekubambika
Wacha wee.kibukitaaaa ndani ya mjengoooView attachment 2150578
[emoji28][emoji28]
MnoKumbe roho ilikuruka kupitwa? Afu dogo una jeuri
Huyo ni mwanitesa mwenzio ambaye akili imemkaa sawa[emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28] faza umenichekesha sanaBila Bosi Ledi kuonekana japo mara moja hapa uzi unakosa ladha. Huoni masaa karibu tisa mnajadili utopolo wa sijui tattoo, sijui mtepesho, sijui nini....Angekuwepo Bosi Ledi kungekuwa na balansi ya mada...tena awepo na shouzz yake wa jomoniii na mizagamuko weh! Mbona ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
nani kasema wenye vibukta ndio wana pepooWacha wee.
Ukimleta huyo tutakemea mapepo
Amekubambika
Huyu mamluki Kama manaraHuyo ni mwanitesa mwenzio ambaye akili imemkaa sawa
Hana unyumbuHuyu mamluki Kama manara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman hapan huwa napitaga mara chache sana huko, ila sio sanaa.Karibu [emoji3590]
Ngoja nikuulize leo..hivi huwa unaendaga mitaa ya sinza kumekucha?una [emoji520] [emoji872][emoji872][emoji872] gold?
Roho mtakatifu kanikomalia leo nikuulize aise
aisee Tatoo ugonjwa wanguu.. akiwa hana tatooo naona kama kaokotwa shimo la udongooo 😃😃😃Hapana siyo wivu
Tattoo naona kama ni za watu walioshindikana[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu nimecheka hadi kupaliwa lolKumbe wewe
Ni dada[emoji848]
Samahani lakini
Kheeeeeeh 1St yr afu ana tatooo mguuni? Wallah umeingia cha kike khaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We niwa mkoani tunajua unakulaga mpaka unakosa pa kupumulia..[emoji23]
Pole. Haikuwa hata picha yangu, nywele tuMno
Tena nipo darasani nafundishwa[emoji1787]
Dada yangu achana na haya mambo ya vijana 😅😅😅 vijana wanakula ujanaNilivyoona sifa hizi nimekuja mbio nimeishia kuangukia pua
umekosa mengii shosteee wanguuu... mfyuuuu majabu ni yepi unafikiri first year wa ruaha university 😃😃😃😃Kheeeeeeh 1St yr afu ana tatooo mguuni? Wallah umeingia cha kike khaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ah wapi [emoji17]Pole. Haikuwa hata picha yangu, nywele tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile mguuni ni tattoo au piko?,[emoji848][emoji848][emoji848]