Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220314_065642.jpg
 
Huyu mwanamke ananikosha Sana sijui nitupe nyavu [emoji38][emoji38]
😀😀 huyu binti ni mtakatifu sanaa kumfananisha na mzungu makosa.. acha nimfananishe na malaika tu.. kwenye wanawake mia kama huyu unapata mmoja au wawili hawazidi 10.. zaidi ya classic.. yani yupo mbinguni na duniani.. ebu jaribu twaweza changa michango 😀😀😀
 
[emoji3][emoji3] huyu binti ni mtakatifu sanaa kumfananisha na mzungu makosa.. acha nimfananishe na malaika tu.. kwenye wanawake mia kama huyu unapata mmoja au wawili hawazidi 10.. zaidi ya classic.. yani yupo mbinguni na duniani.. ebu jaribu twaweza changa michango [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha kazi grade one , nitakutuma mshenga upeleke barua [emoji38]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii zaidi ya grade.. kwenye namba haikai wala kwenye alphabet haikai ina dunia yake ya peke yake aisee.. ukisia beautiful and fair ndio huyu sasaa.. barua napeleka tu tena na convoy ya maaana sana isije kwapuliwa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] et isije ikakwapuliwa maana mjini wahuni wahuni wengi
 
wanakwapua barua wananiteka wana edit barua alafua bado nakuwa mshenga ila kwa mtu mwingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. lazima kuwe na escort aseee
Dah nimecheka Sana kujilinda muhimu hasa unapodeal na msichana mzuri maana wenye maslahi binafsi Ni wengi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom