Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Yeah baadhi yao wanajua,, kwenu hawajui??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwenu wanajua wewe ni memba huku?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwenu wanajua wewe ni memba huku?
Kiasi chake niko pouwah..

za hapa haziwezi nipita kirahisi siku hizi niko chap,, Heaven Sent yeye hakuweka tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu anajua nipo hapa
Kila kitu laying into balance.. kila kitu kwa kiasi ili mambo yawe balanced.. niko poa kiasi,
Ndo unanilaghai ili nipost nyingine?za hapa haziwezi nipita kirahisi siku hizi niko chap,, Heaven Sent yeye hakuweka tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa wewe hata kuweka mkono hutaki unanishawishi mimi kweli hii haki.Mpendwa Hawachi tubariki basi.
OkyKila kitu laying into balance.. kila kitu kwa kiasi ili mambo yawe balanced.. niko poa kiasi,



na wewe nitakudai zote zilizowekwa na kufutwa kule kwenye uzi wa kupeana likes,, deal??
Wewe niliweka ukakimbia mwenyeweMpendwa wewe hata kuweka mkono hutaki unanishawishi mimi kweli hii haki.
Ile uliyokuwa unasema ifutwe.Wewe niliweka ukakimbia mwenyewe
Hakuna mtu anajua nipo hapa
Hapana, ile sio mimi. Yaani umesahau kweli?Ile uliyokuwa unasema ifutwe.



ulipost lini ili leo iwe mara ya pili??
Ndo unanilaghai ili nipost nyingine?