Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

... ma mtumishi nahuo mwili ulivo potabo afu anaonekana mwepesi sasa waauweeeeehhhhhhhh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji126]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Si analeta ulokole wake, bas anakosa vingi khaaaaah,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ile clip ninayo kabisaaaaaa, mda wote naitazama, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namfatilia sana Rose Shaboka, aliniacha hoi, eti mume wake alimpata chuo kikuu UDSM mlimani, alipomtongoza hakukataa wala nn alitoa no yake hapo hapo, uwiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu kwan kesho niende ibadani kwake, kawa kungwi wangu. Woiiiiiiih.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Anasema alipoomba namba sikujiuliza mara 2,,nilimpa
Na sikwenda kuomba,,naomba nini wakati ninachokitaka kimekuja[emoji1787][emoji119]
 
Kwaile saprize ya yale masongi ya valentine day ..... ni dhahiri kuwa ma mchungaji upo vyedi [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji8][emoji8][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzzzzz mbna unakuja kwa kasi sana? Taratibu mambo yako woiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwaile saprize ya yale masongi ya valentine day ..... ni dhahiri kuwa ma mchungaji upo vyedi [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji8][emoji8][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732]!!
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Screenshot_20220312-164840.jpg
 
Back
Top Bottom