Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kati huzuni Yesu ni mfarijiKati giza, Yesu mwanga wangu
Kati huzuni, Yesu ni mfariji
Kati vita, Yesu mwamba wangu
Katika njaa, Yesu mkate wa uzima
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu kimbilio hajawahi kuniacha🥲



Hizi line zinaugusa moyo wangu mno.



