Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220313-005714.jpg
 
Sasa tunaingia na wimbo gani?
Huu hapa.
"Ooooh aaaah ouyeaaaah hapo hapo baba mchungaji, ongeza speed ya kinanda oooooh uuuuuh aaaaaah, kanyaga piano baba nitoe sauti ya kwanza, ooooh aaaaaah uuuuuh eeeeeeh hallelujah babaa koleza wimbo niyatoe maneno makuu kwako na uyasikie"

Baada ya ibadaa, utakuja kunishukuru. Woiiiiiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Aiseeee
Ntaenda na Kwa yule Shaboka aiseee.

Leo jioni niliiangalia hiyo clip yake uliyoisema.
Nikajikumbuka enzi hizo shemeji yako anaomba namba .sikufikiria mara 2,,ilikuwa paa paaa namba hizi hapa Aloo
 
Back
Top Bottom